Mh PM amesema wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza dawa za binadam kinachomirikiwa na mhindi...kua ukosefu wa watumishi waminifu ndo umeua viwanda vyetu baada ya uhuru! Kuna ukweli wowote kwenye hii kauli ya Mkulima,[/QUO
Eti watumishi waaminifu na waliuza viwanda vyote
ndio siasa za CCM hizomtoto wa mkulima naye bwana sometimes anatoa CHEAP SAYS sana kwa mambo yanayohitaji majibu magumu.........
Serikali ya ccm ilishindwa kusimamia hivyo viwanda, hiyo inatokana na udhaifu waccm, Ccm ni (DHAIFU)
Mh PM amesema wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza dawa za binadam kinachomirikiwa na mhindi...kua ukosefu wa watumishi waminifu ndo umeua viwanda vyetu baada ya uhuru! Kuna ukweli wowote kwenye hii kauli ya Mkulima,
kichekesho!watumishi hao hao ndio wameleta maendeleo wanayojivunia wakati wa kampeni!