Pinda: Serikali inakabiliwa na hali mbaya kifedha

Ikiwa ndivyo, tunaishi kulingana na hali hiyo au twaongea tu pasi kuchukua hatua!
 
We are simply NOT SERIOUS...........
 


...........Hii ni disaster kwa Kiongozi Mkubwa kutoa kauli vague kama hizo.......kauli zisizo na substance/mshiko...Hii pekee inaonyesha nijinsi gani Viongozi wetu walivyo incompetent!....Waziri Mkuu ameshindwa kazi......halafu eti anawabembeleza wafanyabiashara....DAMN!.......we are doomed.......

Nchi imewashinda....mnashindwa kufanya maamuzi kwa kulinda maslahi yenu badala ya maslahi ya TAIFA.......Zakumi, Azimio Jipya, Mkandara, Mdondoaji, Companero na EMT....hii ni moja ya mifano ya kwanini umasikini utaendelea nchini hadi Kiama (kama kipo).........YAANI MIJITU IMEKAA MADARAKANI KAZI NI BLA BLA BLA BLA BLA TU........tokeni kama hamuwezi kazi......damn!​
 
jamani hawa si ndo walogharamia mazishi ya kanumba *na wakatoa rambirambi mil.15!!!!!:A S-confused1:*
 
Kama serikali haijafilisika basi pinda ajue hizo indicater zake!
 

Well said bro, especially hapo kwenye kupunguza mawaziri, maana tuna mawaziri wengi hadi wengine hatuwajui.

Halafu unakuta huku kuna wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, meya nk yaani watendaji lukuki lakini wanachofanya hakionekani. Mimi naona mfumo mzima huu wa kiserikali ni mbovu ubomolewe utengenezwe upya, tuwe na viongozi wachache sana kupunguza matumizi. Unaweza kukuta fedha inazokusanya TRA zinatosha sana ni sisi tu ufujaji wetu.Kwenye hii mikoa ni afadhali tuwe na wakuu wa mikoa kama 5 tu! tugawe majimbo wachaguliwe na rais ila wapitie bungeni kuhakikiwa na wawe responsible bungeni.
 
Serikali ilikua na hali mbaya lakin mishahara iliongezwa
Ajira mpya zilitolewa
Chanjo na dawa zilipatikana hosp
 
Wanafiki chadema waliolialia mwaka 2012 kuwa hamna fedha maisha magumu ndio hao hao wanaolialia leo mwaka 2017 kuwa maisha magumu!! .

Shame on you nyumbuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…