LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Tatizo sio Bw.Pinda au sijui Bw.Nyerere, tatizo ni jamii yetu jinsi ilivyo na jinsi inavyoangalia mambo, wewe unaweza kuwa umeona hilo ni tatizo lakini Watanzania wengi wasione tatizo liko wapi, na ndio maana wachangiaji kwenye hii mada ni wachache ikilinganishwa na kama ungeleta mada kama fulani kafumaniwa gesti, au Bw.Rizwani anunua Magomeni yote, kurasa zote zingejaa wachangiaji hasa kwenye mambo ya Ngono, lakini jambo kama hilo wengi humu hawaoni tatizo na wala haliwashtui, hivyo anayoyafanya Bw. Pinda au sijui Bw.Msuya yangefanywa na Mtanzania yoyote au Watanzania walio wengi pindi wangepata hiyo nafasi, hata Kardinali Pengo alilisema hilo, anayelia ufisadi katika jamii yetu ni kwamba hajapata hiyo nafasi, lakini akiipata atafanya yaleyale, alikuwa sahihi kabisa na hii ndio tafsiri yake!

Tanzania inahitaji mikoa isiyozidi kumi na wilaya zisizozidi miamoja. Uchumi wa Taifa hili hauna uwezo wa kubeba mikoa yote hii tulionayo na ambayo kila utawala unaokuja unaiongeza kiholela na kwa maslahi binafsi na ukabila.kwa hiyo ulitaka kila waziri akiingia kazi iwe kuanzisha mikoa na wilaya tu.kwani wewe ulitaka tuwe na mikoa mingapi badala ya mingapi na kwa nini?
Mimi nimetoa tu picha halisi ya jamii yetu, hayo mengine sijui ya kupoteza matumaini sio yangu, na wala sina haja hiyo,Kwa hiyo tuendelee na lao mpaka lini? Acha kupoteza matumaini mkubwa katika kutatua matatizo. Lazima matatizo tuyatatue bila kujali gharama zate au ukubwa wake.
kwanini tusiwe na mikoa mitano na wilaya 20 ili kuokoa fedha zaidi? kwani lengo la kuwa na wilaya na mikoa ni nini?Tanzania inahitaji mikoa isiyozidi kumi na wilaya zisizozidi miamoja. Uchumi wa Taifa hili hauna uwezo wa kubeba mikoa yote hii tulionayo na ambayo kila utawala unaokuja unaiongeza kiholela na kwa maslahi binafsi na ukabila.
Hatutatui matatizo kwa kuongeza mikoa na wilaya wala kwa kuongeza wizara na manaibu waziri. Ndio maana unaona sasa, kuliko wakati mwingine wowote tangu tupate uhuru huduma za jamii zimeelemewa sana. Angalia huduma za elimu, afya, utoaji haki zilivyodorora. Kisa mapesa yote tumeyaelekeza kwenye huduma za kiutawala na SIASA!Kwa hiyo tuendelee na lao mpaka lini? Acha kupoteza matumaini mkubwa katika kutatua matatizo. Lazima matatizo tuyatatue bila kujali gharama zate au ukubwa wake.
Hatutatui matatizo kwa kuongeza mikoa na wilaya wala kwa kuongeza wizara na manaibu waziri. Ndio maana unaona sasa, kuliko wakati mwingine wowote tangu tupate uhuru huduma za jamii zimeelemewa sana. Angalia huduma za elimu, afya, utoaji haki zilivyodorora. Kisa mapesa yote tumeyaelekeza kwenye huduma za kiutawala na SIASA!
Pamoja na mambo mengine wanarukwa tunalia mgawanyo usiosawa wa rasilimalia ardhi baina ya katavi na rukwa(mkoa mama).
Mkoa wa rukwa umegawanywa kupata katavi na utabaki na km za mraba 27,765 na wilaya 3,majimbo 4,tarafa 16,kata 64,vijiji 316,mitaa 196 na vitongoji 1658.
Katavi(mkoa mpya) una km za mraba 47,485 ikiwa na mara mbili ya rukwa,majombo 3,tarafa 10,kata 42,vijiji 124,mitaa 14 na vitongoji 671.
Ni dhahiri kuwa kuna upendeleo mkubwa wa rasilimali ardhi kwa mkoa wa katavi huku maeneo yote potentials na ya kimkakati wakichukua wao.
Mkuu, hebu rejea ahadi za Mkulu wakati wa Kampeni zake 2005 and 2010, then urudi hapa tuone kama Pinda kapinda au kapindishwa na system.Tanzania inahitaji mikoa isiyozidi kumi na wilaya zisizozidi miamoja. Uchumi wa Taifa hili hauna uwezo wa kubeba mikoa yote hii tulionayo na ambayo kila utawala unaokuja unaiongeza kiholela na kwa maslahi binafsi na ukabila.
Pinda katumia UDHAIFU wa mkuu wake wa kazi na ahadi zake nyingi kufanya aliyoyafanya sasa. WaziriMkuu makini hawezi kujigawia mkoa, akajigawia wilaya na halmashauri mbili kwa mpigo. Nashukuru sijamsikia akiutaka Urais. Maajabu na miujiza ingekuwa mingi zaidi.Mkuu, hebu rejea ahadi za Mkulu wakati wa Kampeni zake 2005 and 2010, then urudi hapa tuone kama Pinda kapinda au kapindishwa na system.
Mkuu, hili swala la kugawa wilaya kijanjajanja ni mbaya sana.....Nyamagana na Ilemela ----nimekutana na watumishi wa Ilemela ambao hawana ofisi, kwahiyo wanafanya shughuli zao tu, wakiitwa kwenye mikutano na warsha na semina wanakwenda. wakirudi wanaendelea na shughuli zao za binafsi.Pinda katumia UDHAIFU wa mkuu wake wa kazi na ahadi zake nyingi kufanya aliyoyafanya sasa. WaziriMkuu makini hawezi kujigawia mkoa, akajigawia wilaya na halmashauri mbili kwa mpigo. Nashukuru sijamsikia akiutaka Urais. Maajabu na miujiza ingekuwa mingi zaidi.
Pamoja na mambo mengine wanarukwa tunalia mgawanyo usiosawa wa rasilimalia ardhi baina ya katavi na rukwa(mkoa mama).
Mkoa wa rukwa umegawanywa kupata katavi na utabaki na km za mraba 27,765 na wilaya 3,majimbo 4,tarafa 16,kata 64,vijiji 316,mitaa 196 na vitongoji 1658.
Katavi(mkoa mpya) una km za mraba 47,485 ikiwa na mara mbili ya rukwa,majombo 3,tarafa 10,kata 42,vijiji 124,mitaa 14 na vitongoji 671.
Ni dhahiri kuwa kuna upendeleo mkubwa wa rasilimali ardhi kwa mkoa wa katavi huku maeneo yote potentials na ya kimkakati wakichukua wao.
Kila kitu NCHI hii kinafanywa KISIASA. Hauwezi kuanzisha wilaya kama vile unaoa mke wa pili. Halafu unawalazimisha maDC na wasaidizi wakae huko! Uzoefu wa Pinda serikalini haujamsaidia loloteMkuu, hili swala la kugawa wilaya kijanjajanja ni mbaya sana.....Nyamagana na Ilemela ----nimekutana na watumishi wa Ilemela ambao hawana ofisi, kwahiyo wanafanya shughuli zao tu, wakiitwa kwenye mikutano na warsha na semina wanakwenda. wakirudi wanaendelea na shughuli zao za binafsi.
Wakati ule Waziri Mkuu wa zamani Msuya anasimamia kwa nguvu zake zote kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Mwanga wengi tulimwona ni mkabila, mtu anayependelea kwao.
Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo KP Pinda ni zaidi ya Msuya. Katika kipindi hiki kifupi tu cha uwaziri mkuu wake kaanzisha mkoa wake, KATAVI, kaanzisha na wilaya yake, MLELE, na anataka wilaya hii iwe na halmashauri mbili!
Yote haya kwa gharama ya kodi zetu WATANZANIA. Kuna wa kumzuia?