wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-pm amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye sumry express na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya mbeya express kupotezea. Hebu cheki ule uwanja wa ndege mpanda ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka yambesi awe katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote rukwa mzee luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee ombeni. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia matreka,mbolea etc.......mkuu tumekushtukia
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
nilipomaliza kusoma hii nikarudi SOMA I'd ya muanzishaji nipate hisia anaweza kuwa anatokea kanda ipi, I'd imeakisi nilichokuwa nahisi. acheni ukaskazini jamani.mmetafuna vya kutosha na bado mnaendelea kutafuna Ila hamridhiki. kanda zingine zikigawiwa kidogo mnabekwa ovyo, kisa mnamiliki media,mpo wengi mitandaoni na mnamiliki hadi chama cha siasa cdm. ntajibu hoja ya pili. niambie kilometa za rami mkoani Kilimanjaro,ni nyingi sana,huduma za umeme,maji. vyote vinajengwa na wahisani. bado sasa ukipita wanaendelea jenga rami. kamwe hajabweka mtu humu kwamba mbona wilaya za muhimu sana kama nkasi na mkoa WA kigoma vilivyo muhimu kwa biashara na nchi za maziwa makuu zimetelekweza. hao wahisani wanapenda Kilimanjaro tu!!!! angalia umuhimu WA mbuga ya Serengeti,pato inaloingiza, pita wilayani Serengeti utaweza lia. watalii wamevaa mask kisa vumbi. Mbona hajabweka mtu wajangewe rami. kikwete anataka jenga rami wanalia ajabu,wameapa kukwamisa. wao wapo radhi wanaserengeti wafe kama walivyokuwa wanafurahia wanangorongoro wanakufa kwa njaa lakini wao waneemeke kule moshi kwa kupokea watalii.
Leo mnamsakama pinda na makinda kuomba mikoa. Mbona mchezo WA wilaya mpya ulianza zamani huko kilimanajaro hamjawahi bweka!!!! rejea mwanga,na karibuni wilaya ya mpya ya hai, yaani wilaya inaeneo kama tarafa.ni kama zile wilaya za zenji. hamjabweka. eti mpanda airport imekuwa nongwa. mnaroho mbaya sana,ni asili yenu coz tunaishi nanyie.
"msimuhusishe MUNGU kwenye Ulaji wenu. komaeni na shetani wenu"Samahani, hivi Yule bibi kiroboto kule mjengoni anadaiwa kumiliki mabasi gani vile? Naomba kukumbushwa
Hakuna anayekataa kiongozi kuwa tajiri, shida ni pale unapotumia nafasi uliyonayo ya uongozi kuupata utajiri wa harakaharaka. Kiongozi ni mwanajamii mwenzetu kwa maana kuwa tunaishi naye mitaani Mbagala: kula yake, kulala kwake kuvaa kwake tunakujua.We kenge kweli! Kwani nani amekwambia sifa ya uongozi bora ni kuwa masikini...kama amepata kiuhalali wewe inakuuma nini?
Inawezana ikwa kweli
ndani ya ccm
hamna msafi!