Kwa kweli pinda ni mzungumzaji mzuri sana tena kwa hisia lakini utekelezaji wake hauendani na ahadi zake sasa tuseme watendaji wake wabovu au yeye mwenyewe.Kama matumaini kayatoa sehemu nyingi sana ingawa baadhi ya sehemu katekeleza lakini kwingine imekuwa historia kwa mfano AJIRA KWA MAAFISA UGANI.