Pinda Na Mkono: Uso Kwa Uso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda Na Mkono: Uso Kwa Uso

Discussion in 'Jamii Photos' started by Allien, Apr 24, 2012.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Weka maneno yako tafadhali . . .  [​IMG]
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nitayatoa wapi maneno hapo au ndiyo njia ya kunichonganisha na ma MODS nipate ban?
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mh Nimrodi kusaini haikuwa na maana kwamba ana chuki na Mh Pinda anachotaka ni mawaziri Wezi wajiuzulu. Mh Pinda hajatajwa kwenye taarifa za CAG/Kamati za Bunge
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ezan kwani ulikuwa unataka kuandika matusi hadi ufikirie kupigwa ban?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ndachuwa ni kweli uyasemayo. Hivi ni kwa nini Wabunge wa CCM waliopiga kelele hawaku-sign?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Hundred % what I had done is just for the business...nothing personal.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Allien tatizo nililo nalo mimi mahala popote walipo watu wanao ni-enjoy huwa nasita kutokuwatukana. Hebu fikiria mimi nimekaa mbele ya TV nikisubiri tamko rasmi la Pinda kumbe alikuwa ananitania??????? Hivi hii mood niliyonayo dhidi ya wezi wa rasilimali zangu nastahili kutaniwa kweli??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Walinyimwa kusaini na Mh Lukuvi
   
 9. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  usijali mh. Mkono siunajuwa sina meno ya kung`ata kutumikia uongozi huu ni sawa na kulala na mama mkwe kitanda kimoja...

  afadhali umesaini watu sijuwi wanaogopa nin?????
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  P: sasa ndugu yanguuu, mbona unanitishia amani yangu ndugu yangu?
  M: hahah ha ahh hah wawajibike Bwana, tatizo wala sio wewe....
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ezan nimekupata Mkuu . . . kwa msingi huo ruksa kufunguka aka kuchezesha taya . . . . kama Lusinde vile.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ndachuwa Mh. Lukuvi ana rungu gani mpaka kuwapa au kuwanyima ruhusa? Mbona kuna 4 wamesign?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ezan nimekupata Mkuu . . . kwa msingi huo ruksa kufunguka aka kuchezesha taya . . . . kama Lusinde vile.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kenya ubunge ni kutafuta umaarufu tofauti na hapa kwetu idadi kubwa ya wabunge wanachukulia ubunge kama ajira namaanisha familia yake ndugu na jamaa zake wa karibu wanaishi kutokana na kipato cha Ubunge; akipoteza ubunge matatizo ya kifedha yanaanzia pale pale. Nimrodi Mkono namfananisha na wabunge wa Kenya; hategemei kuishi kwa kipato cha Ubunge. Kwa upande mwigine Mh. Deo Filikunjombe kama mleta hoja Bungeni asingeeleweka kama angeacha kisaini. Hata Mh. Mrema alisaini kwa kuwa ni mleta hoja kwa hiyo Mbunge ambaye ni kichekecho kabisa ni Mwenyekiti wa Hesabu za Serikali kuu Mh. Cheyo.
   
 15. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkono: Teh!! Teh!! Teh!! Teh!! Na sijui huo ugonjwa wa kuwa na huruma nani kakuambukiza, ni mbaya sana kwa nchi yetu..
  Pinda: (anawaza) Mungu nisaidie,niendelee kuiweka mikono yangu pamoja, kofi litalotoka hapa, watu wataokota kofia tu! Chezea uwaziri wewe...
   
Loading...