Ni mmoja kati ya wabunge waliopita bila kupingwa hakuna uchaguzi wa ubunge uliofanyika jimboni kwake nafikiri hata karatasi za kura hazikuwepo, it means no single vote was casted i.e ZERO votes, huyu kweli ataitwa mbunge wa kuchaguliwa akiulizwa amechaguliwa kwa kura ngapi atasemaje.mkuu kwani jimboni kwake pinda hawajapiga kura za ubunge sio?
Kwa kura ngapi? labda awe kwenye kundi la wabunge wa viti maalum (wanawake).Kwa mujibu wa katiba yetu kuna Ubunge wa aina tatu tu:
1)Ubunge wa kuchaguliwa
2)Ubunge wa kuteuliwa
3)Ubunge wa Mwanasheria Mkuu.
Utaona Pinda ni mbunge wa kuchaguliwa.
Ni mmoja kati ya wabunge waliopita bila kupingwa hakuna uchaguzi wa ubunge uliofanyika jimboni kwake nafikiri hata karatasi za kura hazikuwepo, it means no single vote was casted i.e ZERO votes, huyu kweli ataitwa mbunge wa kuchaguliwa akiulizwa amechaguliwa kwa kura ngapi atasemaje.
Ni wapi kwenye katiba inasema mbunge wa kuchaguliwa lazima apigiwe kura jimboni kwake.Kwa kura ngapi? labda awe kwenye kundi la wabunge wa viti maalum (wanawake).
Unasema hawaifuati katiba lakini ujatuonyesha ni wapi wamevunja katiba!haya tutaona lkn hawa jamaa hii katiba huwa wanaiunga wenyewe lkn hawaifuati............znz walisea mpiga kura lazima awe ameishi kwenye eneo kwa muda wa miaka 5 ndio atakuwa na uhalali wa kufanya hivyo lkn shein kura pia kapiga da lkn ndio rais wao................hi tz imekwisha usanii mtupu.
Ni mmoja kati ya wabunge waliopita bila kupingwa hakuna uchaguzi wa ubunge uliofanyika jimboni kwake nafikiri hata karatasi za kura hazikuwepo, it means no single vote was casted i.e ZERO votes, huyu kweli ataitwa mbunge wa kuchaguliwa akiulizwa amechaguliwa kwa kura ngapi atasemaje.
ni ile aliyoisaini jk ya sheria ya uchaguzi waliifuata mkuu kwani ile wakati wa uchaguzi na waliisaini wenyewe?Unasema hawaifuati katiba lakini ujatuonyesha ni wapi wamevunja katiba!
Ninaongelea katika context ya ulichoandika hapa chini.ni ile aliyoisaini jk ya sheria ya uchaguzi waliifuata mkuu kwani ile wakati wa uchaguzi na waliisaini wenyewe?
haya tutaona lkn hawa jamaa hii katiba huwa wanaiunga wenyewe lkn hawaifuati............znz walisea mpiga kura lazima awe ameishi kwenye eneo kwa muda wa miaka 5 ndio atakuwa na uhalali wa kufanya hivyo lkn shein kura pia kapiga da lkn ndio rais wao................hi tz imekwisha usanii mtupu.
Habari za uhakika ni kwamba Waziri mkuu mpya ni Dr Anna .kajumulo ,Tibaijuka .