wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Anaitwa kapi halafu yy anakaa karibu na ng'ombe. Si unajua ng'ombe wanakula makapi? Aangalie asije akawa chakula cha mifugo ndugu kapi.
Rais wa fikra
Nijuavyo mimi makapi ni uchafu uliosalia. Sasa waliobaki huko CCM naona kama vile ndio wanastahili kuitwa makapi!Usipotoshe maana ili kujifurahisha
Makapi ni wale waliohamia UKAWA,
Usipotoshe maana ili kujifurahisha
Makapi ni wale waliohamia UKAWA,
Usipotoshe maana ili kujifurahisha
Makapi ni wale waliohamia UKAWA,