Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,783
Ndio maana wenye kuelimika wanasema hiki cheo cha waziri mkuu ni sawa na bure...hakina maana yoyote.
huyo ndo waziri mkuu Pinda aka mtoto wa mkulima..yeye kila kitu anashangaa tu
hapo ndipo unapoweza kugundua hawa jamaa hawako serious
Nakubaliana na nyie ndugu zangu, nadhani nchi hii inahitaji aidha kukaa kimya au kuanzisha shari, PM anawachota watanzania, story za kuwa viongozi wa wenzetu nje wanatumia gari za kawaida, is very well known.
Hapana shaka Pinda ni kati ya viongozi wazalendo tulionao kwa nyakati hizi... Namshauri ajiuzulu kwa sasa ili heshima yake iendelee kuwepo kwa vizazi vijavyo.. maisha ni process na nilazima yakamilike!...
Huu ushauri asipoweza kuufuata basi historia itamfuata yeye na vizazi vyake!