Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Katika hali isiyo ya kufurahisha , Waziri wetu Mkuu amepokelewa na Naibu Waziri wa Elimu nchini Botswana ambapo Pinda ameenda kuhudhuria semina ya wiki 1 juu ya njia za kisasa za ufugaji nyuki.