Pinda anafaa kuwa waziri wa kilimo


M

mchakachuaji

Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
58
Likes
0
Points
0
M

mchakachuaji

Member
Joined Aug 12, 2010
58 0 0
Tangu aanze kuifanya kazi yake kama waziri mkuu pinda ameonyesha uwezo mkubwa wa kusimamia kilimo, ningekuwa Rais ningemteua awe waziri wa kilimo, hii inatokana na sababu kuwa mtu hufanyavizuri ktk fanianayoipenda. hii imekaaje wadau!
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,561
Likes
1,571
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,561 1,571 280
sio kilimo awe waziri wa mambo ya pawa tilaz
 
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,222
Likes
1,301
Points
280
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,222 1,301 280
Kungekua na hii wizara ya kulia nakusema uongo pia ingemfaa!
 

Forum statistics

Threads 1,213,228
Members 462,001
Posts 28,470,518