Tujiulize nikweli hizi taarifa? Kabla hatujaanza ku tupiana vijembe, we should be great thinkers na sio watu wenye loose talk yani kuropokaropoka tu jamani!
Ua CCM waachieni CCM, angalieni dikteta wenu anavyotukana wenzake kule kuwa yeye ni kisiki hawamuwezi
Mtakuja na kila Maneno ya uzushi kimsingi Pinda kawabana pabaya.@ kambi ya luwasa hailali usiku kucha na bado matakwenda German sana tu
Pinda maisha yake yote.
Mziki wa EL hatakaa aucheze
Lowassa ni sawa na CD mia saba!
President Mizengo Pinda!? ... sounds awkward!
Kwanza tupe chanzo cha habari please na sio kutunga maneno. Watanzania, tujifunze kuweka chanzo cha habari yani source na sio maneno ya kwenye ma gengeni au vijiwe.
kama umezoeya kuropoka ropoka sio watu wote huwa wanafnya hivyo.Chunga mdomo wako hata mimi nina maneno machafu kuliko wewe,jadili hoja iliyoko mezan