OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Kwa habari zilizovuja usiku wa jana ndani ya CCM ni kwamba baada ya pinda kutangaza nia ya kuwania urais ..Makada wa chama hicho walikutana na kupitisha azimio kumwandikia Pinda Barua ya kujieleza kwanin kavunja kanuni za chama na Hasa kwa kusema kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiye chaguo lake.
Kilichosukuma CCM kufanya hivyo ni pressure kutoka kwa vyama pinzani kuja juu kuhusu pinda kutumia Mali za umma kwa manufaa binafsi ya kujiweka urais 2015.Chezea CCM wewe!.
Kilichosukuma CCM kufanya hivyo ni pressure kutoka kwa vyama pinzani kuja juu kuhusu pinda kutumia Mali za umma kwa manufaa binafsi ya kujiweka urais 2015.Chezea CCM wewe!.