Pinda ahutubia umati KARATU

Pinda ahutubia umati KARATU

Dr slaa kawapa elimu ya uraia wananchi wa kara2 wanaelewa kazi ya serikali ni kuwaletea wananchi huduma za jamii mbunge ni kulisimamia serikali kama unabisha 2015 aje mwanaccm mnayedhani anakubalika saa 6 mchana kura za cdm zimetosha
 
mleta mada mbona umetumia lugha ya tafsida sana ungesema tu pinda ahutubia umati wa watu nyumbani kwa dokta slaa cm chache kutoka kibarazani kwake
 
Mheshimiwa Pinda kumpa nafasi mbunge wa Karatu kafanya jambo la maana. Si ajabu fursa hiyo imetolewa na Pinda, na si Mkuu wa Wilaya. Wakuu wengi wa Wilaya kwa kujipendekeza wanawachukia wapinzani bila sababu kumbe hawajui leo ni CCM, kesho chama kingine. Wanapoamua kuwa makada wawe wanabakiza akiba!
 
Pinda yuko na mkutano wa hadhara hapa Karatu mchana huu ktk viwanja vya mazingira bora hapa Karatu.
SIKIA HII MAENDELEO AMBAYO PINDA ALIISHANGAA KARATU AMBAYO HALMASHAURI INAONGOZWA NA CHADEMA TANGU 2000 NA KUA NA MBUNGE WA CHADEMA TANGU 1995..,WILAYA KARATU INA VIJIJI 42 SHULE ZA MSINGI 103 INA KATA 14 INA SHULE ZA SEKONDARI 29 INA SAHANATI 20.chuo cha unesi 1 na chuo cha ualimu iko kwenye hatua za ujenzi.Pinda alishangaa sana kasi ya Maendeleo karatu.ila alishindwa kuisifia CHADEMA.
 
We jamaa Mbona unajijibu mwenyewe? Au ndio wazee wa buku saba?

Tehteh!
Chezea ID mbilimbili weyeee! Utaumbuka, Ona sasaaa!
 
Back
Top Bottom