Pinda - a clueless PM

Si mnajua hakuna kinachoandikwa kwenye magazeti ya Mengi bila yeye mwenyewe kukubali. Yeye ndio mhariri mkuu. Sasa mnataka kusema Mengi na waandishi wake wanamsingizia Pinda?
 
vinginevyo wametunga...

Hapana, sio wametunga, mmetunga.

Ungeleta ujumbe uliotungwa kama ulivyo ukaubandika bila kuongeza chumvi zako za "Pinda ni Clueless" tungesema NIPASHE limetunga, Marcopolo ni mjumbe tu.

Lakini hapa umebeba ujumbe uliotungwa kwamba Pinda kasema hajali "kelele za wananchi" halafu ukaushadadia. Umefanyika zaidi ya mbeba ujumbe. For all we know, inawezekana wewe ndio mwandishi wa huo mpasho wa NIPASHE. Weka hapa alichosema Pinda, neno kwa neno. Vinginevyo mmetunga!
 
interesting...
we, as in who?
Mimi mwandishi??? another clueless personality!
 
In all seriousness:

Pinda appears to be clueless not only in this case, but also in many of his speeches, just try to follow them and you will see what I mean. On this particular speech, I deduce two things which underline my suspicion:
1. Pinda was a guest at a dinner organized by TPSF, who invited him to discuss ideas on how best to proceed forward with existing problems. His speech, in my opinion, contradicts TPSF interests and goals, unless am missing something.
It is like being invited to dinner by local fishermen to discuss ways to promote local fishermen's business and then stand up and declare that you as PM are going to let foreign fishermen free access to local oceans!
2. Pinda as PM is a vivid example and living proof that CCM government has run out of ideas on how best to proceed with development issues in this country. The only solution this govt sees is through foreign help and grants. Worse still, when these foreign companies come to invest, the govt is not in a position to properly handle and negotiate agreements that would eventually benefit this country. Consequently, despite big-mouths, the govt cannot make any agreements public for fear of exposing the mishandling of our (country's) interests, safeguarding their own individual gains.

Mr PINDA:
If you have admitted that even your father is poor despite being a farmer for so many years, then being a PM, you should at least do this minimum:
1. Sit down wth proper "experts" with properly attained agricultural degrees, economics degrees, financial and financial management degrees and NOT party cadres with dubious "open university" degrees
2. Let them formulate viable, marketable and long-term agricultural advancement programmes, which would involve a targeted number of farmers who could take part.
3. If your Govt does not have hard cash, it may instead give govt guarantees, bonds, or secure low interest credit facilities from commercial banks to finance the initiative.
4. Fight for markets inside and especially outside the country for existing and new finished agricultural products instead of counting on selling directly what grows out of land, which is primitive and increasingly outdated as centuries go by!
etc etc.
This is what a G-O-V-E-R-N-M-E-N-T is expected to do everyday it is in power for its own citizens, who have voted and put your govt in power. They deserve it as a right!
Initiatives and programmes are a domain of governments, farmers, workers, unemployed follow what the govt in power has laid down for them to implement. DO NOT expect otherwise, as that means you are not fit for purpose, i.e. not fit to rule!

PS:
The above points (1 to 4) are a quick reaction off the top of my head. It may need refining given time, and should only serve as an example of how to do it!
 
Apparently, ili article iwe na ujumbe unaoeleweka ni LAZIMA iwe na direct quotes!

Kama unafikiri tatizo ni ujumbe kueleweka hujaelewa the entire issue at hand here, unaweza kuandika article inayoeleweka vizuri sana, lakini swali linakuja, how credible is the piece? Kma umekaa kwenye kiti tu na kuchonga maneno, au umeandika maneno kama unavyokumbuka wewe Pinda alivyosema, bila kutupatia maneno halisi aliyosema Pinda kama muandishi utapoteza credibility.

Waandishi kazi yao ni ku ripoti kilichotokea, wawaache wasomaji waamue ku interpret, sasa kama hutuambii Pinda alichosema directly utakuwa wewe unatupa interpretation yako na ku deviate kutoka kazi ya uandiashi ambayo inatakiwa ku report facts.

Unless unaandika "Maoni ya Mhariri" "Nionavyo Mimi" or some other such Op-Ed" a report article ni lazima iwe na reliable sources, ndiyo maana ikawa report, otherwise itakuwa Op-Ed.
 
Si kwamba ujumbe haueleweki. Ujumbe hauaminiki.

Huwezi kudai Pinda ni clueless kasema watakodi ardhi ya nchi "bila kujali kelele za wananchi." Hiyo ni tafsiri yako wewe na mwandishi wako wewe. Weka maneno yake nione mwenyewe alichotamka yeye Pinda neno kwa neno.

Vinginevyo mmetunga.

Mfano mzuri wa controversy hii ni matumizi ya neno "kelele".

Neno hili kwa watu wengine ni kama tusi, na halifai kusemwa na Waziri Mkuu aki describe wananchi wanaotoa hoja zao.

Sasa swali linakuja, Je mheshimiwa Waziri Mkuu alisema kweli neno "kelele" au ni neno lilioandikwa na mwandishi tu? Kwamba Pinda kasema "maneno" na muandishi kasema "kelele" katika kulitafsiri neno "maneno" la Pinda kama vile Pinda kaona nuisance?

Unaona umuhimu wa direct quotes hapo?

Kwa sababu kama Pinda kasema kweli neno "kelele" kuna wengine tunaweza kumtaka awaombe radhi wananchi, lakini kama kasema "maneno" tunaweza kuona sawa Waziri Mkuu anakataa excessive mingling za wananchi wengine ambao hawawezi kuridhishwa.

Hapo ndipo unapoona umuhimu wa direct quotes.
 
In all seriousness:

Pinda appears to be clueless not only in this case, but also in many of his speeches, just try to follow them and you will see what I mean. On this particular speech, I deduce two things which underline my suspicion:
1. Pinda was a guest at a dinner organized by TPSF, who invited him to discuss ideas on how best to proceed forward with existing problems. His speech, in my opinion, contradicts TPSF interests and goals, unless am missing something.
It is like being invited to dinner by local fishermen to discuss ways to promote local fishermen's business and then stand up and declare that you as PM are going to let foreign fishermen free access to local oceans!
2. Pinda as PM is a vivid example and living proof that CCM government has run out of ideas on how best to proceed with development issues in this country. The only solution this govt sees is through foreign help and grants. Worse still, when these foreign companies come to invest, the govt is not in a position to properly handle and negotiate agreements that would eventually benefit this country. Consequently, despite big-mouths, the govt cannot make any agreements public for fear of exposing the mishandling of our (country's) interests, safeguarding their own individual gains.

Mr PINDA:
If you have admitted that even your father is poor despite being a farmer for so many years, then being a PM, you should at least do this minimum:
1. Sit down wth proper "experts" with properly attained agricultural degrees, economics degrees, financial and financial management degrees and NOT party cadres with dubious "open university" degrees
2. Let them formulate viable, marketable and long-term agricultural advancement programmes, which would involve a targeted number of farmers who could take part.
3. If your Govt does not have hard cash, it may instead give govt guarantees, bonds, or secure low interest credit facilities from commercial banks to finance the initiative.
4. Fight for markets inside and especially outside the country for existing and new finished agricultural products instead of counting on selling directly what grows out of land, which is primitive and increasingly outdated as centuries go by!
etc etc.
This is what a G-O-V-E-R-N-M-E-N-T is expected to do everyday it is in power for its own citizens, who have voted and put your govt in power. They deserve it as a right!
Initiatives and programmes are a domain of governments, farmers, workers, unemployed follow what the govt in power has laid down for them to implement. DO NOT expect otherwise, as that means you are not fit for purpose, i.e. not fit to rule!

PS:
The above points (1 to 4) are a quick reaction off the top of my head. It may need refining given time, and should only serve as an example of how to do it!

This bright spark seems fit for the PM's job.Why dont you give it a try?
Loudmouthing never developed a country you know.
 
Ikumbukwe pia kama asivyotegemewa kutumia neno ''kelele'', vilevile Waziri Mkuu ategemewi kuruhusu wananchi kuhukumu watuhumiwa badala ya mahakama.
 
As long as kuna ushahidi ulio incontrovertible kwamba kasema kitu (this includes direct quotes) mimi sioni tatizo la kum hold responsible.

Lakini tusitake kwenda all out kutokana na maneno ya muandishi asiyejua kanuni za uandishi wa habari.

Pinda anajulikana ku butcher vitu, hili halina ubishi, lakini tusifanye fact kwamba Pinda ni kawaida yake ku butcher kama ushahidi wakati article haijaweza kuonyesha kwamba ka butcher tena.Kati ya watu wenye inconsistency ya kutoa brilliant statements na kutoa pumba Pinda ni mmojawapo, so you never know what to expect from him, kwa hiyo si fair ku rely kwenye account ambayo haina hata direct quotes.

Mimi naweza kuandika sentensi moja hapa na kuomba wanabodi wanieleze wanavyoielewa, wanabodi 100 wanaweza kuja na tafsiri 100 tofauti!
 
Back
Top Bottom