Pima uwezo wako wa kutambua rangi hapa (colours blindness)

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,671
Katika hiyo picha kuna namba kama umeshidwa kuiona hiyo namba basi wewe ni green-red colorblind.

Yaani unamatatizo ya kushindwa kutofautisha kati ya rangi nyekundu, kijani, brown na orange zikichanganywa pamoja.

 
Wooiiii hakuna kitu hapo naona mapichapicha tu wataalamu wenye macho ya mwewe njooni
 
Nimegoma kupima huo uwezo na nasema hivi Sina matatizo.
 
DADEKI mkuu umeonaje mi mbona sioni hizo nimejitahidi mpk ku zoom lkn ndo kwanza naona watu wananyanduana! We itakuwa unatudanganya!..
Na zoom then nasogeza simu MBALI naziona Namba Vizuri Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…