Pima uwezo wa macho yako

Na photographer alisimama upande wa kushoto mwa jengo yaani kulia kwake
 
Amin mkuu asante na wewe akupe kila unayo wish in your life. Japo life is short
My hero utafiti.. Mbona Moula keshanikirimu na kanipa vyote nilivyotamaani Alhamdullillah ndo nkajiita Maisha ni mafupi!! hata uishii vipi? utamu ni ulimini na mchanga unakusubiri.
Good and happy days 2 U
 
Nakuombea upate mazuri zaidi tukakoenda
 
Nakuombea upate mazuri zaidi tukakoenda
Kama ulivyojua nimeshakwenda kwingi na nimepata mazuri yao na nimeridhika nayo!!
The Good old days!! the new present days !! in-ShaAllah future coming days!! ituchekee na kutufrahia.AMIN
 
Namba 2...kama kawaida nataka zawadi zangu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…