Pima Macho Yako...........Umeona nini?.

Kuna mbibi kainamisha kichwa chini pia kuna msichana amekunja shingo

Uko sawa pia kiongozi ukiangalia vizuri picha ya mdada ni kama kavaa kituu shingoni ambacho kina-present mdomo wa bibi ake...!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…