Pima Macho Yako...........Umeona nini?.

Kuna mwanamke hapo..
Vingine Bw.Nduki naomba nitoke nduki tu.
 
kuna dada kageuza shingo na pia kuna bibi mzee sana anaonekana kama ana mawazo mengi.
 
kuna dada kageuza shingo na pia kuna bibi mzee sana anaonekana kama ana mawazo mengi.

Mkuu umepatia patia kidogo ni kweli kuna mdada hapo ila hajageuza shingo asee.

Na pia ni kweli kuna bibi mzee hapo ila ni vyema ungesema yupo sehem gani mkuu.
 
Macho yangu mabovu vinginevyo tupe jibu kama vipi nakupa mji kabisa Shinyanga ili utengue fumbo hili
 
Maisha yamekua magumu aisee tumeshindwa kungamua tusaidie
 
Maisha yamekua magumu aisee tumeshindwa kungamua tusaidie

Hahahaa ngoja nikusaidie kidogo.............angalia hiyo necklace ya huyo bint unaweza kuniambia ni nini mkuu?.
 
Macho yangu mabovu vinginevyo tupe jibu kama vipi nakupa mji kabisa Shinyanga ili utengue fumbo hili

Ngoja nikusaidie kidogo mkuu angalia hiko cha huyo bint unaweza kuniambia ni nini Kiongozi ?.
 
Kuna mbibi kainamisha kichwa chini pia kuna msichana amekunja shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…