Mh labda macho yang yanaona tofati, picha ya kwanza mi naona sijui mawe, vyra sikuona hadi niliposoma posts zingine, nilichoona ni kinyonga tu....... au labda nimechoka sana
hahaha asante, afadhali sasa nisigemuona in a million yearshahaha inabidi ukodoe macho haswa!picha ya kwanza nimeikuza unaweza muona buibui sasa!