Pima IQ yako

Pima IQ yako

Inamaan hiki kiswali kimekutoa jasho nduki Shy land

Mmesaanda hapa……?

Ukijibu ni quote au ni mention nikwambie kama umepata au umekosa

Kilicho juu ni kinyume kwa chini kwahiyo basi kwenye alama ya kuuliza inatakiwa iwe 1.
 
Last edited by a moderator:
Inamaan hiki kiswali kimekutoa jasho nduki Shy land

Mmesaanda hapa……?

Ukijibu ni quote au ni mention nikwambie kama umepata au umekosa

Jibu ni 6. Ni idadi ya angles au sides zinazotengeneza iyo figure mfano wa 7, kama vile kulivyo na 7 sides kwenye figure mfano wa 1.

Is that correct? merengo90
 
Last edited by a moderator:
Kama IQ ndo inapimwa kihivyo mi IQ yangu ni 0 (zero) kabisaa.
 
Back
Top Bottom