Kwa wale mnaotazama Maisha Plus 2016.. Kuna binti mmoja anaitwa Pilly Ngenda mshiriki kutoka Burundi, hakika ananikosha sana kwa uzuri na urembo wake. Kwa tabia na haiba yake.
Huwa sikosi Maisha Plus 2016 kwa ajili ya huyu binti. Moyo wangu kwatuuu!!
Kama unafuatilia Maisha Plus 2016, AzamTV niambie neno kuhusu Pilly Ngenda