NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Ni kijiji kipo mkoa wa Ruvuma
Ni kijiji kipo mkoa wa Ruvuma
Toka mwaka huu uanze leo ndo umeongea point
kumbe unakifahamu.
mmh boxer ukitupa kule dah
hatari hiyo
mmh boxer ukitupa kule dah
hatari hiyo
Mi hata boxer natupa kule...
Enheeeeeeeeeee Hapo sawa!
Hata biology tulikuwa tunachora sehemu za mwili zikiwa huru!
Umenifanya nicheke kwa nguvu jamani kha!
Akitaka anakalia hata nikiwa usingizini
oupsss hadi mwili umenisisimka lol
Alafu kwenye mtihani mtu unaigopa kulebo ili usimtukane mwalimu...