Ni muhimu kuweka mazingira mazuri kwa mwenza wako wakati wa kulala, maandalizi ya chumba, mpangilio wa vitu, rangi zake, uvaaji wako, shuka kitandani na style ya mito
Dinner iliyoandaliwa vema maji ya kuoga fresh pyjamas then mnafunga mlango mnawasha taa ndogo ya rangi then mnalazana kitandani mnaongea mazungumzo laini yasiyoleta stress
Usiku huwa mtulivu na usingizi huwa mororo, shida ni pale utakapolala kitanda hicho hicho pekeyako!!! Utakumbuka mengi
Huu mkoa baridi aaah napata shida kweli kulala mwenyewe yani usiku ukifika napata mawazo....
Hivi wanaume nao tunatakiwa kuvaa night dress?
night dress kwan mnaenda kulinda sungusungu!
hewa muhimu ujue!
night dress kwan mnaenda kulinda sungusungu!
hewa muhimu ujue!
Evelyn Salt kumbe tupo wote london!?Huu mkoa baridi aaah napata shida kweli kulala mwenyewe yani usiku ukifika napata mawazo....
Evelyn Salt kumbe tupo wote london!?
londoni ni mkoa,??
night dress kwan mnaenda kulinda sungusungu!
hewa muhimu ujue!
londoni ni mkoa,??
londoni ni mkoa,??
Aah wapi hiyo ni Dar na pwani tuu huku niliko utaongeza na pensi track na koti
Inawezekana pia. Mkoa mpya..