Leo umenikumbusha mamaangu bi shosti anapenda kupika pilau ya nyanya...waswahili waita pilau ya kihindi loh na tukiulizwa mbona hii pilau nyekundu ha ha ha
anapenda vyakula vya nyumbani mpaka ugali mkweo anashusha hana makubwa maskini mwenyewe tena ugali anaula kwa kijiko akishika kwa mkono ana kazi ya kujifuta saa zote lohAhahahahh tamu jeee...ndio umpikie mkwe wangu nae afaidi mapishi ya mama yake....
oh my my! wapenda kuku apo chacha! farkhina ya samaki unapikaje
anapenda vyakula vya nyumbani mpaka ugali mkweo anashusha hana makubwa maskini mwenyewe tena ugali anaula kwa kijiko akishika kwa mkono ana kazi ya kujifuta saa zote loh
Asante.
thanx swirryHahahahaha...ya samaki unapika kama pilau ya kawaida tu....ila samaki mkoleze viungo kama thomu,pilipili manga,pilipil ya kuwasha,chumvi,tangawizi na ndimu waache nusu saa wakolee viungo...then kaanga
Pilau ipike peke yake.
thanx swirry
unatutamanisha, dah, sijue ntaipata wapi na mie bado mseja.
utamfundisha we mkwewe lol!Hahahahahaha umfundishe na kuusonga pia aje ampikie mwanangu lol..n
duh, picha tu mate yananitoka. Japo mi ni mpenzi wa pilau ila Ndo mara ya kwanza nasikia pilau ya aina hiyo.