Pikipiki ya Boxer 150 inauzwa

Pikipiki ya Boxer 150 inauzwa

wamatinga

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
99
Reaction score
15
Hamjambo wadau. Nauza pikipiki ya boxer 150. Imetumika kwa miezi 9. Ipo Dar. Bei ni Tsh 1.1million. Nimeshindwa ku upload picha. Naweza zituma kwa whatsapp kwa yeyote anataka. Ni pm kwa maswali au picha. Asanteni
 
weka whatapp 0753979554 na kama haina deni 1m kma ina madeni tra usisimbuke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom