displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
TV1 Leo hii wameripoti kuwepo kwa pikipiki ya ajabu aina ya FAKON imeonekana katika kijiwe cha Bodaboda huko Temeke.
Inadaiwa mkataba wa makubaliano umevunjika kwa dereva na boss wake kushindwa elewana, yasemekana Mwenye pikipiki ni mtu wa Tanga. Na hiyo pikipiki imetokea Tanga.
Hiyo pikipiki ipo kituoni yapata miaka minne hakunaawezaei ichukua au kuiiba wanadai Watu wanne waliojaribu ichukua wamekuwa machizi.
Pia wanadai huwa inaondoka nyakatifulani ikipiga route zake na kuridi kijiweni kwake.
Maswali ni mengi...wenye taarifa zaidi watujuze na picha pia mshare na wadau.
Picha sikufanikiwa ipata.
UPDATE picha kwa hisani ya Mtanzania!!
http:/
Dunia na vijimambo vyake!!