pikipiki SANLG inauzwa 1000000

pikipiki SANLG inauzwa 1000000

adata5

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
69
Reaction score
8
wadau nauza hyo pikipiki sanlg plate no cgp ipo kibaha mailimoja inatembea na inafanya biashara bodaboda imemaliza mwaka ndo maana naiuza aina tatizo lolote bei 1000000 aina discount aliye interest just call 0714511079
 
subiri mkuu picha inakuja kwani bado cjaonana na dereva anayeendesha halafu nimetoka nipo morogoro narudi jumanosi hii
 
Back
Top Bottom