PIKIPIKI MPYA ZA OMOTTO

hii scooter kuna wadau kama 6 wameshanipigia simu wanaitaka sasa kwa maamuzi yangu atakayewahi kulipia hii scooter basi ndio atachukua mali yake. kwahiyo kazi ni kwenu. Bei Mil 2.4 na ofisi yetu iko msasani. simu- 0689866100.

 
hahaha, bosi hizi hazitetemeshi. ziko imara.


Mhhhh, ngoja nisubriri tu ushuhuda kwa watu wengine. Unakumbuka miaka ya nyuma zile feni za Kichina? Zilikuwa zinaonekana bomba kinoma machoni mwetu, ukinunua na kuweka nyumbani....utashangaa usiku mmelala majirani wanawahamsha nyumba yenu inawaka moto. Ukiwa na bahati utatoka na majeraha ila ukichelewa unakuwa mshikaki.
 
sawa mi nimeshauza pikipiki mbili tayari nasubiri malalamiko kutoka wateja wangu walionunua. asanteni Jamiiforums
 
ZIPO TOLEO MBILI;

1) OMOTTO -OM 150BX- MIL 2.1

2) OMOTTO SCOOTER - MIL 2.4

OFA- WARRANTY MWAKA MZIMA. KOFIA MOJA BURE, USAJILI WA KADI BURE NA BOX YA SPARE BURE.

OFISI- TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO. KARIBU NA STENDI YA CCBRT

WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFARISHIA MZIGO

SIMU- 0689866100, WHATSAPP- 0717518359

PIKIPIKI NI MTAJI.
 
habari wakuu..?unaponunua chombo chako chs moto usisahau kufunga kifaa chetu cha gps kwa usalama zaidi kutoka katika kampuni yetu ya CHINA AFRICA NAVIGATION COMPAN karibuni sana

contact.0692449416 au 0714988215
 
mkuu habari pia tunahitaji agent wa kusuply GPS zetu na hii ni chat inayoonyesha vile agent anavyoweza kunufaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…