asante mkuu, tupo pamoja.Nzuri sana mkitangaza vyema mtafanya mapinduzi ya piki piki nchini.
Pikipiki mbovu hizo hazina ubora msikurupuke kununua jamani itakula kwenu.TUNAUZA PIKIPIKI MPYA ZA KICHINA, AINA YA OMOTTO INA ENGINE KUBWA YA 150 CC, INA SELF START, KITI KIREFU CHA KUKAA WATU WAWILI, INABEBA MZIGO WA KILO 200. ZINAFAA KWA BODABODA NA KZAI NGUMU. INAKULA LT 1 YA MAFUTA KWA KM 45. MATAIRI YA SPORT RIM . INA SHOW NZURI YA KUVUTIA. INADUMU MUDA MREFU TOFAUTI NA ZINGINE. ZINAKUJA KWA RANGI TATU, NYEKUNDU, BLU NA KIJANI.
ZIPO TOLEO MBILI;
1) OMOTTO -OM 150BX- MIL 2.1
2) OMOTTO SCOOTER - MIL 2.4
OFA- WARRANTY MWAKA MZIMA. KOFIA MOJA BURE, USAJILI WA KADI BURE NA BOX YA SPARE BURE.
OFISI- TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO. KARIBU NA STENDI YA CCBRT
WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFARISHIA MZIGO
SIMU- 0689866100, WHATSAPP- 0717518359
PIKIPIKI NI MTAJI.
View attachment 466360
View attachment 466361
View attachment 466363 View attachment 466363
View attachment 466364
asante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.Pikipiki mbovu hizo hazina ubora msikurupuke kununua jamani itakula kwenu.
>>> hizo ndogo nzuri saana bei haipungui kidogo MKUU >>
Nyie Quality group nani asiyewajua kwa kuuza vitu feki na magumashi......middle fingerasante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.
MI nawaalika wadau wote waje kuziona hapa ofisini kwetu.
Natambua kuna washindani wetu wa boxer, sanlg, fekon ndio mnakuja kuniharibia post.
hahaha, asante na karibu tena bosi.Nyie Quality group nani asiyewajua kwa kuuza vitu feki na magumashi......middle finger
nipe namba yako ya simu braza. nikupigie simu nikupe utaratibu.Mm npo kigoma ntaipataje usafri kwa kwa kampuni yen mtanfanyia ela ngap hyo yenye muundo wa boxer
jazia hoja nzito. tv zilizowahi kukanyagwa na greda kariakoo miaka ya nyuma zilithibitishwa na nani? simu zilizomulikwa na TCRA hazikutangazwa kibiashara kama hizi honda?asante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.
MI nawaalika wadau wote waje kuziona hapa ofisini kwetu.
Natambua kuna washindani wetu wa boxer, sanlg, fekon ndio mnakuja kuniharibia post.
Omoto ni kampuni ya china inayotengeneza hizi pikipiki. hizi pikipiki huwa zinatestiwa kwanza kabla hazijaingizwa sokoni na taratibu zote za ukaguzi unafuatwa. na hii ipo duniani kote bidhaa yeyote lazima itestiwe na kuangaliwa performance yake na kwa upande wa tanzania TBS na TRA wako makini sana tofauti na siku za nyuma.jazia hoja nzito. tv zilizowahi kukanyagwa na greda kariakoo miaka ya nyuma zilithibitishwa na nani? simu zilizomulikwa na TCRA hazikutangazwa kibiashara kama hizi honda?
iliwahi kukutokea?? tupe stori, ilikuwa pikipiki gani??Made in China, si ndiyo? Ngoja wenzangu wanunue kwanza ndipo nami nitajikita huko.....sitaki kwa sasa kwani sitaki kuwa wa kwanza kulipukiwa moto au tako kuganda kwenye kiti. Nitasubiri tu.
Jaribu kutumia lugha vizuri ndugu. Hiyo ni biashara ya watu na mteja anayo nafasi ya kuchagua bidhaa anayopenda.Pikipiki mbovu hizo hazina ubora msikurupuke kununua jamani itakula kwenu.