rulama
Senior Member
- Sep 8, 2014
- 195
- 133
Wakuu nahitaji kununua pikipiki tajwa hapo kwa 2000000 wapi taipata kwa Bei hiyo nipo tabora
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hautajali jiunge na magroup ya whatsapp yanayojishughulisha na uuzaji wa pikipiki used na mpya! bei zao ni nzuri na inaendana na kiasi ukichotaja.Wakuu nahitaji kununua pikipiki tajwa hapo kwa 2000000 wapi taipata kwa Bei hiyo nipo tabora
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuwekee namba za kujiunga na hayo magroup tafazalikama hautajali jiunge na magroup ya whatsapp yanayojishughulisha na uuzaji wa pikipiki used na mpya! bei zao ni nzuri na inaendana na kiasi ukichotaja.
#hatahivyo umakini unahitajika, lolote laweza kutokea
ipo iliyotumika miezi mitano bei inapoa ukihtaji nichekWakuu nahitaji kununua pikipiki tajwa hapo kwa 2000000 wapi taipata kwa Bei hiyo nipo tabora
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo iliyotumika miezi mitano bei inapoa ukihtaji nichekWakuu nahitaji kununua pikipiki tajwa hapo kwa 2000000 wapi taipata kwa Bei hiyo nipo tabora
Sent using Jamii Forums mobile app