TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,265 Reaction score 25,539 Mar 14, 2016 #1 Wadau nawasilisha kwenu. Jamaa yangu nipo naye ofisi moja anahitaji kuuziwa chombo cha usafiri pikipiki aina yoyote isipokuwa Jamii za mchina kama Sunlg, toyo nk, but kama ni India products kama mahindra, passo nk anaweza kuchukua cash anayo 1Mil
Wadau nawasilisha kwenu. Jamaa yangu nipo naye ofisi moja anahitaji kuuziwa chombo cha usafiri pikipiki aina yoyote isipokuwa Jamii za mchina kama Sunlg, toyo nk, but kama ni India products kama mahindra, passo nk anaweza kuchukua cash anayo 1Mil