Pikipiki inauzwa!

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,750
2,279
Bado mpya, imetumika miezi 5 tu. Ni aina ya Fekoni. Bei ni 1.2m, nitafute kwa 0714 138 846.
 

Attachments

  • 1452506320240.jpg
    1452506320240.jpg
    55.8 KB · Views: 99
  • 1452506338776.jpg
    1452506338776.jpg
    54.6 KB · Views: 76
  • 1452506361073.jpg
    1452506361073.jpg
    50.4 KB · Views: 68
hiyo pikipiki imetumika sana yani naona ina miaka sio miezi kwa mtazamo wangu
hata ukiona jinsi ilivyo halafu umeipaka rangi sana mpaka inatisha
 
Back
Top Bottom