PikiPiki inauzwa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
wasalamu!

Pikipiki aina ya FAKON inauzwa.
imetumika kwa takriban miezi sita
Bei ni Tshs milion moja na nusu (1,500,000/=)pungufu tunaongea

kwa ambaye yupo seriouse anitumie ujumbe kwa numba 0756144386 nitampigia soon.....unaweza pia kutumia numba hiyo kunitafuta whattsupp

Karibuni
 

Attachments

  • IMG-20140706-WA0010.jpg
    70.9 KB · Views: 386
  • IMG-20140706-WA0009.jpg
    79.9 KB · Views: 394
Hiyo bei ulotaja mbona ni bei ya kununua mpya
 
Dukan mpya ni 1,650,000/= sasa we mkuu yako imetumika miez 6, alafu bei ndo hiyo, mbona bei kubwa sana
 
Watu wengine wanonaga Watanzania ni Mavilaza sana.atasubiri sana kupata mteja.
 
Watu wengine wanonaga Watanzania ni Mavilaza sana.atasubiri sana kupata mteja.

mkuu usipaniki sijakifunga kamba au kukulaImisha waache wanunuaji tujadil bei wewe hasira za nini wakati mimi nauza mali yangu?
 
Pikipiki nzuri sana kwa mwenye nia ya kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…