Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,903
Siwazagi demu mm na huwa sipotez muda kufanya kiki zenu hizo kwa ajili ya demu.
Ila nikimtaka demu yeyote namnasa bila kiki.
Sawa sikiliza ndugu yangu hii mada tuache uendelee kutangaza pikipiki yakoNi hulka ya memba wengi tunajua mnazo na nimatajiri ambao mnalalama kununua pkpk ya mili 3 mnataka ya laki 5 kwa sababu hampendi show off
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ungebadirisha msemo
wakati mimi nataka kula nyama choma (STARLET)
mwingine anahitajikula ugali mrenda (PIKIPIKI)
Sawa sikiliza ndugu yangu hii mada tuache uendelee kutangaza pikipiki yako
Usije kukosa mteja ukasema mm ndio nimeharibu biashara yako,halaf ukose hela ya kula unipatishe dhambi mm.
Nakuombea ubarikiwe kwenye biashara yako.
Hizo SHOWCUP za upepo ndo nini na zikoje?!?PIKIPIKI HONDA 250 INAUZWA.
Made:Japan
Cooling system (rejeta)
Speed 180
Sports rims
Showcup za upepo
Brake: disc both side
V-twin engine (two in one)
Full documents,in good condition.
Contact:0673190072
Location😀ar es salaam
Bei 3m
MAONGEZI YAPO.View attachment 1123809
Sawa sikiliza ndugu yangu hii mada tuache uendelee kutangaza pikipiki yako
Usije kukosa mteja ukasema mm ndio nimeharibu biashara yako,halaf ukose hela ya kula unipatishe dhambi mm.
Nakuombea ubarikiwe kwenye biashara yako.
Vikombe vya maonyeshoShowcups????
[emoji847][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vikombe vya maonyesho
Sijui nikuelekeze vp mkuu,ila kuna sehemu za kujazia upepo kama ilivyo kwa tairi na hufanyika kila baada ya muda fulani unapoona zimeshuka sanaHizo SHOWCUP za upepo ndo nini na zikoje?!?
Achaga maskhara kwenye vitu serious!! Ahahahhahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinatumia upepo kufanya nini mkuu au kujionesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Bei hiyo unapata kinglion 2.
Una wivuHuyo mwenye hyo simu ni limbukeni si ajabu hata kutumia smartphone vzr hajui anapiga na kupokea simu tu eti kisa aonekane matawi.
Ingekuwa pesa inachezewa hvyo Basi mo dewji angetumia simu ya mil 50.
Kwani kasema huyo mwenye simu ya bei kubwa anawaringishia watu?Ww hujui kwamba maskini ndio huwa wanahangaika kuishi maisha ya kuigiza.
Ww unafikir matajir wanahangaika kununua vitu vya gharama kwa ajili ya kuwaringishia watu.
Naona siku hizi kipimo cha mtu kuwa siyo limbukeni ni kujenga nyumba.Kila mtu anasema mimi najenga nyumba.Sasa kama mtu anavyo hivyo vyote na akaamua kumiliki simu ya bei Mbaya ni dhambi?Mimi najenga nyumba mkuu kwa sababu ni asset simu niko nayo standard ambayo inaniwezesha kutumia matumizi yangu yote muhimu ya applications mbalimbali pamoja na typing ya fomu na barua mbalimbali.
Hyo simu ya mil 5 kibaka akiikwapua imekula kwako.
Upo sahihi mkuu,maskini na wivu damu damuUnaijua simu yake? Vifaa vya ulinzi alivojiwekea mwilini? Gari anazotumia? Stay cool kama huna pesa mzee
Kuna mtu hapendi vitu vizuri? Ni umaskini tu ndiyo unatufanya tujifariji Kwa kusema Mie najenga nyumba kwanza haya mambo ya luxury stakiNi hulka ya memba wengi tunajua mnazo na nimatajiri ambao mnalalama kununua pkpk ya mili 3 mnataka ya laki 5 kwa sababu hampendi show off