Pikipiki inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pikipiki inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitabu, Feb 17, 2011.

 1. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pikipiki aina ya YAMAHA XT cc250 nimefunga Engene ya Honda cc250.inahali nzuri kabisa.Bei Tsh1800,000/-
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uko wapi na tutakupataje? kuna mazungumzo?
   
 3. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nipo Mapinga,baada tu ya Bunju kuelekea Bagamoyo.maongezi yapo Mkuu(0655 857683 au 0717 166455)
   
 4. bank

  bank Senior Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inafaa kwa boda boda? kama ndio nina milioni moja.
  serious.
   
 5. semango

  semango JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu weka picha.nimetafuta kitu ya cc250 muda kidogo sasa.weka picha ili nione body kama inalipa pia.na imeshasajiliwa?
   
 6. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nitaweka picha,ila inafanana sana na body ya baja au XLR,imetulia kwa kweli.Bodaboda ukipenda waweza itumia,Ila kwa cc250,mjapani!sishauri sana.Imesajiliwa kwa ZNZ.Documents zote zipo,tokea inaingia nchini
   
 7. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Matumizi utapanga wewe,Ila kwa milioni moja kaka,uko mbali sana,hiyo ni bei ya mchina Mkuu
   
 8. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimeshusha bei wana JF hadi Tsh 1,600,000/-semeni sasa
   
 9. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli Pikipiki ni hobi!!!
   
Loading...