Habari!
kama unapikipiki fekon, san lg or Tbetter na unaiuza fanya mawasiliano nami kupitia no 0754086882.
Ubora ni sifa mhimu na bima pia mhimu!
Bajeti ni 800k+
unazingua sana mpaka najuta kufanya mpango na wewe mara upo mkoani, mara kaka yako kapoteza simu, mara upo tegeta kama huna hiyo pesa sema usiwe kama mwanga.
kama anazingua achana nae!!
unazingua sana mpaka najuta kufanya mpango na wewe mara upo mkoani, mara kaka yako kapoteza simu, mara upo tegeta kama huna hiyo pesa sema usiwe kama mwanga.
Nsha-achana nae ati ila ndo nimejifunza somo
Mkuu kama ni udalali umekushinda nimetoka mkoani kwa ajili yako nafika unasema haujawasiliana na mwenye pikipiki! Umenipa namba yake anasema imeshauzwa wakati ww asubuhi ya leo umesema ipo na ningeitegemea hiyo tu ina maana ningekwama! Kwa taarifa yako mi sio dalali na nanunua kwa pesa yangu naenda kufanya biashara mbeya na leo hii nimepata 2 na nimeshazipakia kwenye gari saa hizi nipo ruvu narudi mbeya!
ila nilikuelez na nilikupa no.ya anaeuza maana sikuwepo na kwakuwa yupo nae kimara mkashindwana kama unavyosema. sasa mbona hukunitaarifu..?kama hakutokea.? Hapo ulikosea sasa siku ingine, kwa watu wengine, nchi ingine usirudie hilo kosa. AsanteMi mwenyewe nimejifunza kuwa kuna watu hamna kazi ila kufanya udalali na wenyewe unawashinda pia!
Nimekaa zaidi ya saa kimara nakusubiri lakini bado haujatokea we ni mwizi unaogopa kujitokeza?
Boss mi mwenyewe sipendi dhulma wala kumsumbua mtu inapotokea nakuwa sina namna lakn nimejitahidi nimekuja ili nisikukwaze zaidi matokeo yake umenikwaza ww! Ok yaliyotokea yametokea tuachane nayo tusonge mbele. Mimi sio dalali nanunua mwenyewe na siku nyingine ukiwa nayo usisite kunitaarifu maana bado naendelea kununua!Dini yangu hainuruhusu nile fedha ambayo sijaitolea jasho au kuongeza thumni kwenye ununuzi la uuzaji wa mali ya mtu. Pili muuzaji ni mpangaji wa nyumba yangu kwakuwa hakuwa na kodi alinipa taarifa kuwa anauza, nikamweka siku nzima akimsubiri kaka yako uliyesema kaibiwa simu. Mwishowe akaiuza. Kwakuwa niliamini kweli muhitaji ulipouliza kama ipo nikajitolea kwa salio langu kuulizia kwa watu ili nisiweze kukwamisha jambo lako. Lakini kama waniita hivyo asante.