Si umesikia Gwajima kasema ana biashara zake Malaysia na wapi sijui na ameshawaambia wenzake kule kwamba yeye atakuwa first lady na kwamba hakubali kukosa maana yeye ndiye, vinginevyo...?"
Kwa site hii siyo ajabu, kumkuta katika mapozi hayo muuza mkaa.
Watarudi Marekani, Mzee Slaa atamwagwa. Nani ataishi na dume lisilo na kazi! Halafu taaluma ya padri slaa haifanyi aajiriwe popote zaidi ya kanisa katoliki! Si sheria za kanisa katoliki alizobobea! Uraiani wapi na wapi!?!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.