Pikipiki gani bora kwa mazingira ya kubeba mizigo vijijini?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,432
Jamana nataka kununua pikipiki bora na himilivu kwa mzaingira ya vijijini ili inasidie kubebe mizigo kama gunia la mahindi ,udaga nk. Haichakai haraka lakini inatumia mafutaa kidogo.Asante
 
Nunuwa toyo la mataili matatu
Au
Kinglion 150 yenye chain ktk injin
Kama bushi milima mingi Toyo 150 ndo mpango mzma
 
Mie nna mwaka wa sita na sanlg tangu 2010 april hadi leo wala haina shida.
 
Back
Top Bottom