Pikipiki Boxer inauzwa

Pikipiki Boxer inauzwa

FRGR

Senior Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
126
Reaction score
56
Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m...

Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp 0713 190 118

Kwa ajiri ya picha....nipo mabibo Dsm..
 
We una wenge na inaonekana ww ni Dalali. Maana una bei mbilimbili 1.5 au 1.6? Hueleweki Broo.
 
aisee nilikosea...ila ni between 1.6 na 1.5.....aliye tayari anicheki...
 
Between 1.6 na 1.5 ni (1.6+1.5)/2=1.55
Guys bei ya between ndio hiyo(1.55) mwenye pesa na anunue.
Nilikua na rahisisha mahesabu tu.
Bye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom