Usilolijua. ....mimi huwa nashangaa sana Kama umeweza kuji-register JF as a member <<hiyo inatosha kuelewa kwamba ndugu yangu Mshomba una akili zako timilifu.Hivyo basi maswali ambayo unaweza kuyatatua mwenyewe si lazima ulete huku kujaza server zetu..Hili swali nikimpa mwanangu wa darasa la 3 anakutoa KO na tena sio TKO
Sasa kwani hizo pikipiki
ndio zinafanya huo uhalifu, naona unatuletea story za Enzi hizo eti
range rover haziruhusiwi kupaki bank.
Usilolijua. ....
Kwa taarifa yako Alhamis hii Traffic Polisi waliweka Doria barabarani kukamata na kukagua Boxer zote walizoziona.
Habari hizi zina ka-ukweli kiasi, usimbishie mtoa mada! !
acha kufikiri kama hujui lolote,uliwezaje kuji-register jf?
traffic hakukamati eti kisa unaendesha boxer,anakukamata ikiwa pikipiki hiyo haijatimiza vigezo vya kukaa barabarani.
Habarini wadau, kumekuwepo na habari mkanganyiko kwenye jamii yetu kuwa hizi pikipiki aina ya boxer zitapigwa marufuku kwa kile kinachoelezwa kuwa zinatumika kwenye baadhi ya matukio ya uhalifu tafadhali mwenye taarifa zaidi kuhusiana na hili suala atujuze
Mkuu bado sijaridhika,Nachofahamu walikuwa wanakagua vibali vya pikipiki zote na siyo Boxer.Usilolijua. ....
Kwa taarifa yako Alhamis hii Traffic Polisi waliweka Doria barabarani kukamata na kukagua Boxer zote walizoziona.
Habari hizi zina ka-ukweli kiasi, usimbishie mtoa mada! !
Haijaniingia akilini badopikipiki aina ya boxer zitapigwa marufuku kwa kile kinachoelezwa kuwa zinatumika kwenye baadhi ya matukio ya uhalifu
yaelekea watu sio wasomaji wa magazeti wala wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali za jeshi la polisi
Habarini wadau, kumekuwepo na habari mkanganyiko kwenye jamii yetu kuwa hizi pikipiki aina ya boxer zitapigwa marufuku kwa kile kinachoelezwa kuwa zinatumika kwenye baadhi ya matukio ya uhalifu tafadhali mwenye taarifa zaidi kuhusiana na hili suala atujuze
Hivi we hujaijua tu hii njiiiiiii?? Pikipiki za mchina sasahivi haziuzi, si unajua ndo miradi ya wakubwa ileee!! Kama tanesco vile, wanazima umeme ili wapige dili za mawese mazito, Boxer kaingia sokoni mchina hauzi tena, so wanakaba koo kwa boxer ili waendelee kufaudu!! Stuka Mkuu
Watu wabishi sana aisee,
Ok, ndugu yangu ni mmoja kati ya waliokamatwa hiyo alhamis zaidi ya mara tatu. Hicho ndicho alichoambiwa na hao Traffic.
Wanachodai ni kua Boxer zinakimbia sana kuliko pikipiki zozote zilizo katika kundi Lao (T-better, Sunlg, Skyline e.t.c., so zinatumiwa sana katika uhalifu! !
kwa akili za mtoa hoja anaweza akasema serikali ya tz ina mpango wa kupiga marufuku watu.(HAITAKI KUONA MTU YOYOTE NCHINI KISA MAANDAMANO YAMEZIDI)
Sasa kwani hizo pikipiki ndio zinafanya huo uhalifu, naona unatuletea story za Enzi hizo eti range rover haziruhusiwi kupaki bank.