Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Natafuta Pikipiki aina Ya Boxer Kwa Tsh 1million.
Vigezo.
1.Pikipiki isiwe ya Uwizi ama dalili zozote za kupatikana kitapeli.
Kumbuka Shahidi wakati wa Manunuzi kwa Upande wangu atakua Askari pamoja na Mwanasheria wangu, na kwa upande wako nitahitaji awe Mjumbe wako wa mtaa.
2.Isiwe Imechoka Body wala Engine wala Kupungukiwa kifaa chochote.
Kumbuka manunuzi yatafanyika Fundi wa Pikipiki akiwepo kwa ajali ya Ukaguzi.
Sina Haraka nayo So kama ww ni dalali ama vingenevyo na Umeliona tangazo hili Basi nisaidie Kuipata Pikipiki hiyo, nipo tayari mda Wowote Kuilipia pale tu itakapopatikana na kutimiza vigezo vyangu.
Natarajia kusikia kutoka kwenu.
Ahsanteni
Usimfundishe mwenzio kununua mali za dhuluma atolee jasho saivi boxer ni 2.3 anunue tu shopHuna rafiki polisi?.Hera hiyo unapata 2
Sawa , nashukuru kwa majibu yako ya Sigara.Bangi tu hii
Kama Unayo Njoo PM tuzungumzeOngeza hela mkuu
Hizo ni nyingi lakini sio sana kwahiyo ongeza hela babu
Ukishatoka Kwa wazazi wako Utajua Maisha ni nn.! .. Sasa hivi endelea Kuita bargain ni mteremko...Mkuu anapenda mtelemko sana, haya bana ngoja waje wenye shida
Mkuu unapenda kuwalalia watu wenye shida sio tabia nzuri, kusanya milioni mbili nikuelekeze mahali ukanunue mpya kabisa, bure gharamaUkishatoka Kwa wazazi wako Utajua Maisha ni nn.! .. Sasa hivi endelea Kuita bargain ni mteremko...
Bado ni wakati wako.
Kweli!Ukishatoka Kwa wazazi wako Utajua Maisha ni nn.! .. Sasa hivi endelea Kuita bargain ni mteremko...
Bado ni wakati wako.
Ahsante sana Kaka ..Nitakutafuta kwa Hilo,nikifika hapo.Mkuu unapenda kuwalalia watu wenye shida sio tabia nzuri, kusanya milioni mbili nikuelekeze mahali ukanunue mpya kabisa, bure gharama
Kweli!
Unasari kwa Gwajima mkuu?.amesema anatafuta Pikipiki ya kitonga tunampa ushauri unasema boxer Dukani milioni 2 bei anajua mkuuUsimfundishe mwenzio kununua mali za dhuluma atolee jasho saivi boxer ni 2.3 anunue tu shop
Thubutu,namhamasisha ahangaike asipende vya bureUnasari kwa Gwajima mkuu?.amesema anatafuta Pikipiki ya kitonga tunampa ushauri unasema boxer Dukani milioni 2 bei anajua mkuu
Ndio uwezo wake mkuu mbinu niliyompa ni nzuriThubutu,namhamasisha ahangaike asipende vya bure