Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Baada ya chama imara kusisia uchaguzi basi kina Thobias Mwesigwa waridhani wanaweza wanunua viongozi wa Chadema na wakapata nguvu ya umma.
Wakawekeza fedha CHAUMMA na kuwanunua kina Yerrico Nyerere ,John Mrema, Kigaila na Salum Mwalimu.
Basi timu iyo iliwashawishi Wana mama wa Bawacha Kwa ahadi ya kupata viti maalumu. Bila kufikiri Kwa kina kina Catherine Ruge, Susana Kiwanga, Moza Ally na Asha Madoga walihama Chadema Kwa dharau na kebehi wakijua kabisa washakuwa wabunge .
Siku ya uchaguzi, ilipotokea MO29 maCCM yalichanganyikiwa na kuwasahau Hawa CHAUMMA, mwaka matokeo yanatoka CHAUMMA ata 5% ya kura za urais na wabunge hawakupata.
Now kina Catherine Ruge ubunge wamekosa, Wana aibu, masikitiko, fedhea Hadi wanaona aibu kutoa kichwa kwenye mitandao ya kijamii.
Wakitazama 2030 CHAUMMA ndo itakuwa useless kabisa wanabaki na vilio mioyoni. Catherine Ruge vuneni mlichokipanda.