Kuna kitu kimemuingia huyu mama, siku ya kwanza alionekana ktk video akikemea aina ya mahubiri ya nabii. Tena alishangazwa atawezaje kutatua matatizo ya watu wengi vile kwa wakati mmoja!!, akaenda mbali zaidi kwa kusema Alichokiona pale ni biashara, kila kitu kinauzwa tena kwa bei ya juu. Maji ya 700, yanauzwa 1000. Mama ghafla kabadili msimamo wake.
Kwa inavyoonekana kwa sasa huyo mwamposa hakamatiki, si unaona ameweza kumtuliza hata mwenye mkoa wake, (yule wa Pompeo) sasa anaenda kumpiku hadi gwajboy ktk system.Engine mbili zinapokutana yenye nguvu ndogo huzima ghafla
Jr[emoji769]
You're. Not me
Mshana kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi. Hawa viongozi wa dini wanaushawishi mkubwa kwa waumini wao hivyo serikali ikiwafuruga saivi inaona kabsa itajiharibia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo papara viongozi wengi wa Serikali wanakuwa wepesi kutoa matamko haraka haraka bila kufanya uchunguzi wa kina kwanzaKuna kitu kimemuingia huyu mama, siku ya kwanza alionekana ktk video akikemea aina ya mahubiri ya nabii. Tena alishangazwa atawezaje kutatua matatizo ya watu wengi vile kwa wakati mmoja!!, akaenda mbali zaidi kwa kusema Alichokiona pale ni biashara, kila kitu kinauzwa tena kwa bei ya juu. Maji ya 700, yanauzwa 1000. Mama ghafla kabadili msimamo wake.
Wewe mwanga mleta mada nenda kawange mbele huko achana na Mwamposya kabla Mwamposya hajakufanyizia na wanga wako.Mwamposya sio saizi yako
Dah! Taifa lina kazi kubwa hili. Shida ipo kuanzia juu hadi chini kabisa, kama maoni yenyewe ndio haya...safari bado ni ndefu!!!Tatizo papara viongozi wengi wa Serikali wanakuwa wepesi kutoa matamko haraka haraka bill kufanya uchunguzi wa kina kwanza
Nilimshangaa Simbachawene nikasema huyu naye vipi si atulie kwanza na mkuu wa mkoa naye nikamshangaa
Matukio yakitokea ukisema tunaendelea na uchunguzi tutatoa taarifa kamili tukishakamilisha Kuna shifa gani?
Mambo makubwa yakitokea viongozi wajifunze kutulia kwanza sio unatoka Kama alivyotoka Simbachawene na huyo mkuu wa mkoa na kuanza kukebehi imani za watu
Imani ya mtu ni kitu nyeti kiongozi wa Serikali anatakiwa kuwa makini nacho