Pigo la fainali kwa CCM

Pigo la fainali kwa CCM

Aisee huu mwaka mengi tutayasikia kila anaeota anatoa lake
 
ndugu watanzania,kunahabar nmezpata kutoka chanzo cha ndani ya cdm kuwa muda wowote kuanzia sasa prof mwandosya,ataanza kujaunga ukawa then bilali na mwisho n wabunge wa ccm waliopandikizwa na lowasa kuanza kujitoa kwenye majimbo,let us see

Malisa nakuamini sana,ktk hili ni la kweli maana hata mm nashida na wazee wetu hao wamedhalilishwa sana.
 
Me nilijua Umeandika kuwa Babu Duni ajitoa sasa, hataki tena kusubiri hadi wiki moja kabla ya uchaguzi kama alivyopanga....
AU
nilijua Umeandika kuwa wakuu wa majeshi na polesi wamejiunga rasmi chadema na wa usalama wa taifa....
AU
Nilijua Umeandika kuwa mgombea amefikia uwezo wake wa mwisho ki afya lazima aende ujerumani kimatibabu

Kumbe Umeandika nonsense tupu, #HapaKaziTu Tunasubiri kuapishwa ili tufungue mahakama maalum ya mafsadi

Mahakama hiyo ipo nchini tangu mwaka 1984. Magufuri ni mental case.
 
Back
Top Bottom