Pigia kura project hii ya kijana wa kitanzania

chief1 pengine ungeweka ufafanuzi kidogo kabla hatujafungua hiyo link tujue ni nini kinaendelea.
hiyo ni project ambayo imefanikiwa kuingia round nyingine ya kupigiwa kura katika shindano la kimataifa la uandishi wa miradi inayoweza kuisaidia jamii ya dunia,shindano linaitwa youth entrepreneurship competition,
ukishafungua hiyo link ukiscrow down utakuwa link ya rangi ya orange iliyoandikwa VOTE NOW!, na kuna kibox cha namba, ukishajaza zile namba kwenye column then una voter!
unaweza kuvote mara nne kila siku

project unaweza kuisoma pia hapohapo
 
Kumbe ni hivo, basi sina haja ya kuipigia kura!! Haya mambo ya kura kura ndiyo yaliyotufikisha hapa, ikiwa bora itajipigia yenyewe...
 
asante, naheshimu mawazo yako
 
Hii ya kwetu kabisa ngoja niipigie akishinda atafungua fursa za ajira sehemu za huko halafu hili wazo liliniijia wakati nipo second year na nikaliandika ila sikupata fursa ya pa kulipeleka, nimeamini kuna wakati mawazo ya watu yanaingiliana au kufanana.
 
Back
Top Bottom