Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
Hata kama mtu kakosea, au umepata kifaa kizuri zaidi, ni vizuri kuwa na ustarabu.
Huwezi kujua ya kesho, na huonyesha ni kiasi gani unajua mapenzi.
Unajua aslimia zaidi ya 90 wanajuTa maamuzi waliyofanya??
Wewe ambaye unatembea na kibuti moyoni ila hujakifikisha naomba rewind your decision,
Kumbuka kubuti kinaumiza na kinaleta maafa moyoni (disaster) .
jioni njema.
View attachment 39722
nilishachwa na mtu niliempenda bila sababu so kumuacha mtu nikiwa na sabbu sion soo