Piga sarakasi kidogo.

Piga sarakasi kidogo.

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
Mwalimu alisema,'Kama jana ingekuwa kesho,basi leo ingekuwa Ijumaa'. SWALI:Mwalimu aliongea kauli hii katika siku ipi ya wiki?
 
Mwalimu alisema,'Kama jana
ingekuwa kesho,basi leo ingekuwa Ijumaa'. SWALI:Mwalimu aliongea kauli
hii katika siku ipi ya wiki?

Mkuu hii kali, kwa vichwa vyetu hivi vilivyoathirika na bia, sidhani kama tutaweza....
 
Haiwezekani mwalimu aseme hiyo kauli labda huyo co mwalimu mkuu
 
So far sio mbaya japo bado hakuna jibu sahihi kati ya wachangiaji wote.
 
Ingekuwa? Simple..jibu ni jumatano! Ilikua siku ya jumatano kwa maana kwamba jana ilikua Jumanne then kesho Alhamisi kwahiyo kama kama jana Jumanne ingekua Alhamisi basi leo ingekua Ijumaa! Sijui nimekushawishi mkuu?
 
Clap dem hands to Mshuza2 ,umetisha mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Swali hili liliuluzwa na Baba John juzi katika jukwaa hili likiwa na kicha cha chemsha bongo na likajibiwa. ila sio mbaya kwa wasioliona.
 
Swali hili liliuluzwa na Baba John juzi katika jukwaa hili likiwa na kicha cha chemsha bongo na likajibiwa. ila sio mbaya kwa wasioliona.
Anyway, but fuatilia hapo juu, hii thread ipo tangu 5/4/2013.
 
Back
Top Bottom