Mwathirika wa kwanza katika vita ni ukweli.Piga nikupige kwenye propaganda pia zipo
Iran ikifanikiwa kuua wanajeshi 200 wa Marekani vita vinaisha immediately. Raia wa Marekani wanapenda vita, lakini hawana ujasiri wa kubeba misiba inayotokana na vita. Hilo likitokea wataandamana nchi nzima kupinga vita!As a result of missile strikes on American bases, at least 200 US military personnel were killed and injured,” the Tasnim news agency reported Saturday, citing a statement by the IRGC.
Kwani Vietnam ilikuwaje?Iran ikifanikiwa kuua wanajeshi 200 wa Marekani vita vinaisha immediately. Raia wa Marekani wanapenda vita, lakini hawana ujasiri wa kubeba misiba inayotokana na vita. Hilo likitokea wataandamana nchi nzima kupinga vita!
Waliweka mpira kwapani.Kwani Vietnam ilikuwaje?