Piga kura ya Nyimbo bora ya mwaka 2016

Piga kura ya Nyimbo bora ya mwaka 2016

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,165
diamond ft harmonize-bado

darasa-mziki

ccm-wataisoma namba

ally kiba-aje

ben pol-moyo mashine

tafadhali piga kura yako tupate nyimbo bora ya mwaka
 
acha maswara ...we weka muziki..brabraaa ...sitaki kusikia...
 
Hebu piga kura tuje tuone nyimbo ipi imegusa mioyo ya watu..
1.Salome-diamond
2.acha waisome namba-ccm
3.Aje-Alikiba
4.mziki-darasa.

NB: mwisho wa kupiga kura ni 31 desember 2016, unaruhusiwa kuoga mara nyingi uwezavyo
 
5. Kwetu - Rayvany

4. Aje - Ali Kiba

3. Bado - Harmonize ft. Simba

2. Hainaga Ushemeji - Man Fongo

1. Salome - Simba ft. Rayvany
 
Namba
Hebu piga kura tuje tuone nyimbo ipi imegusa mioyo ya watu..
1.Salome-diamond
2.acha waisome namba-ccm
3.Aje-Alikiba
4.mziki-darasa.

NB: mwisho wa kupiga kura ni 31 desember 2016, unaruhusiwa kuoga mara nyingi uwezavyo
Hiyo namba 2 haina mpinzani!
 
Hebu piga kura tuje tuone nyimbo ipi imegusa mioyo ya watu..
1.Salome-diamond
2.acha waisome namba-ccm
3.Aje-Alikiba
4.mziki-darasa.

NB: mwisho wa kupiga kura ni 31 desember 2016, unaruhusiwa kuoga mara nyingi uwezavyo
Wimbo bora kuanzia 2015 hadi 2020 au hata zaidi ya hapo ni #2 hapo,
 
Attachments

Hebu piga kura tuje tuone nyimbo ipi imegusa mioyo ya watu..
1.Salome-diamond
2.acha waisome namba-ccm
3.Aje-Alikiba
4.mziki-darasa.

NB: mwisho wa kupiga kura ni 31 desember 2016, unaruhusiwa kuoga mara nyingi uwezavyo
Mod rekebisha apo n kupiga siyo kuoga
 
Acha waisome namba eee .. Hii iingie top 2
 
Back
Top Bottom